Rasmi Timu ya Kengold FC Yashuka Darasa Ligi Kuu ya NBC Tanzania

KenGold Yashuka Daraja


Klabu ya Kengold Fc imeshuka daraja rasmi kutoka Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara kwenda Ligi ya Championship kufuatia kipigo cha 2-1 dhidi ya Wanamangush, Coastal Union katika dimba la Mkwakwani, Tanga.


FT: Coastal Union 2-1 KenGold Fc

⚽ 20’ Msimu

⚽ 37’ Bagayoko

⚽ 39’ Lipangile


KenGold Fc wenye pointi 16 wakiwa mkiani kwenye msimamo wa Ligi Kuu bara hivi sasa wamesaliwa na mechi tatu ambapo hata wakishinda zote hawawezi kuifikia Tanzania Prisons waliopo nafasi ya 14 wakiwa na pointi 27.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.