Fei Toto Awataja Wachezaji Hawa Bora Kwake Ligi Kuu, Ajiweka na Yeye Katika List
0
June 28, 2025
Feisal Salum anasema Mchezaji mwenye matumizi bora ya Mguu wa Kushoto ni Mohamed Hussein (Simba), Mchezaji bora matumizi Mguu wa kulia ni yeye Feisal Salum (Azam FC), Mmaliziaji bora amemtaja Prince Dube (Young Africans), Mchezaji mwenye Ufundi ni Pacome Zouzoua (Young Africans), Mchezaji mwenye chenga zaidi ni Pacome Zouzoua (Young Africans) na Mchezaji mwenye IQ kubwa ya mpira ni Khalid Aucho (Young Africans)
Tags